Call us: +255 684 602006 | E-mail: info@cityplan.co.tz

CityPlan Commitment, Deliverance and Quality

Uuzaji wa viwanja vilivyopimwa eneo la Vikindu halimashauri ya Mkuranga

Kampuni ya CityPlan Consultants (T) Limited inapenda kuutangazia umma juu ya uhuzaji wa viwanja vilivyopimwa katika halmashauri ya Mkuranga nnje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam.

Ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda, kampuni ya CityPlan inakaribisha mashirika na makampuni binafsi kuja kuwekeza na kumiliki viwanda vidogo vidogo na vya ukubwa wa kati (Light industrial), kujenga maeneo ya makazi, Biashara, Taasisi na maeneo ya kilimo.

Bei zetu nikama zifuatazo:

AINA YA KIWANJA GHARAMA KWA MITA MRABA
Viwanda Tsh 10,000
Makazi Tsh 6,000
Makazi na Biashara Tsh 7,500
Kilimo cha mjini Tsh 6,000

Mteja au mwekezaji pia ataweza kulipia asilimia 30 (30%) kwa malipo ya awali kulingana na ukubwa wa eneo atakalo hitaji, kiasi kinachobakia kitalipwa ndani ya mienzi 12 bila riba kupitia benki mshirika wetu CRDB.

Viwanja vinafikika kiurahisi kupitia barabara ya kilwa ukitokea kongowe kwenda Mjimwema katikati kuna kituo cha mafuta cha TSN maeneo ya Mwembe Mtemvu mkono wa kulia umbali kilomita saba (7km) hadi eneo la mradi au kilomita tano (5km) kutokea kiwanda cha Azam cha vikindu.
About Maweni Eco Village Project

CityPlan Consultants (T) Limited in partnership with land owners in Tanga City is selling about 916 surveyed and serviced plots for different uses including residential, commercial-residential, housing estates, institutions to mention a few located at Pongwe area about 15 Km from Tanga City Centre along Tanga - Segera road.

The Project area is bounded by Tanga cement manufacturing factory, Tanga Segera main road and railway line on the Northern side, Kichangani settlement on the eastern side, Buhuri area on the southern side and new industrial plots on the north western side.

The Maweni Eco Village Project components

Tanga City like other cities of developing world is growing rapidly than rate of provision of surveyed plots for various land uses which resulting into the growth of unplanned settlements. CityPlan consultants (T) Limited is joining hands with government Of United Republic of Tanzania with objective of making sure that, land is developed at the rate of which towns develop so as to meet the needs and avoiding the development of unplanned settlement. There are 916 planned, serviced and surveyed plots for different uses including residential, commercial-residential, housing estates, institutions to mention a few at Pongwe area in Tanga City.

The project area has the coastal type of climate which is generally characterized by high temperatures and humidity. Average temperatures vary from 27°C to 30°C and it is cooler in the inland, higher areas during the night where temperatures may be 15-18°C. The cooler season is during June and September, while the hottest one is between December and March. Maweni Eco-city is located at Pongwe area which lies on the geographical coordinates of 5°8' 0"S, 38°58'0"E.

Apart from that, Maweni-Eco Village project is set along high way of Tanga- Segera approximately15km from Tanga city centre. 10kms from airport, 16kms from the port, 6kms from Rhino cement factory, 3kms from Tanga cement factory and 2kms from Tanga special economic zone where 17 modern factories will be built by South Korea. The city set near to large private and government institutions such as Tanga fresh, Kilimanjaro blankets and hotels

Tanga City Council has agreed to facilitate the process of preparation of title deeds for all plots to be sold from the project.


Go to top of page